News & Updates

02-12-2021 9:42 am

Ordinary Diploma Best Students Academic Year 2020/2021.

Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) anawatangazia wanafunzi na wadau wote wa DIT kuwa sherehe za utoaji tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao 2020/2021, zitafanyika Jumatano, tarehe 1 Desemba, 2021 Katika ukumbi wa ASA DIT. Read More...

Read All News